Kwaheri mchepuko Wangu

[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Gharama pia hupungua..
 
sana komredi huu mchezo hautaki hasira ha ha ha
Cost sharing muhimu sanaa kw hao Viumbe.
Huwa hawatabiriki. %wise ktk Risk is more than!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tafuta mchepuko wa kigosi kule kule nyumbani upate mgoshi mwenzio
 
asa mkuu kama umeamua kumuacha...wewe muache kwa maana kila mtu huwa na kitu kile roho yake inapenda...kama anakukwaza...amepoteza vigezo vinavyopendwa na moyo wako..
 

[emoji115]Kuegemea kwenye familia tu siyo vizuri buana![emoji1]
 
nahisi tatizo lake ni ..kupatwa kwa smart phone cc mshana jr
 
Jaribu kumshirikisha mkeo hili jambo ila fanya kama unamhadithia kisa cha mtu flani.
Atakachoshauri fanyia kazi.
Hapo chacha itakua chawa na kumwambia ntu aende kituo cha polichi akiwa na chupa gongo mkononi na huku akiwa anavuta bhangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…