Kwaheri mchepuko Wangu

Ki ukwel kinachotokea hapo ni mazoea yaliyoptliza akiwa na confidence kwamba huwez kupindua kwake...
ushauri wa kwanza piga chin mchepuko lea ndoa yako
ushaur wa pili na naamin ndio utauelewa mpe likzo isyo na malipo huo mchepuko ushike adabu ukiona hakuna mabadiliko jua kashapatikana mshika mapembe mwengine ambaye anampa jeur so ukiona hilo rudi namba moja hapo juu.
 
Ivi engineer sio 'nshomile' kweli?
 
Thanx. Yote mawili nime elewa
 
Mkuu mbona haujitambui?
Heading - maamuzi yamefanyika,
Content - bhlaa bhlaa nyingi na kutaka ushauri.

Hayo mambo yanahitaji ujasiri mkubwa na uvumilivu. Usiyumbe wala kuyumbishwa. Ukishindwa waachie Wenyewe wee rudi kuitunza family.

Family haitaji sononeko
toka kw mchepuko, usije iletea family yako Nuksi.

Michepuko mingine balaaa.....
 
wanawake wanashauri utadhani nao wakiolewa hawachepuki duh
 
Nime kuelewa mkuu
 
Nime kuelewa mkuu. But it happens some times kuto jitambua. Thanx
 
Nimecheka bila kutegemea.
 
Kama umesoma Engineering basi wewe ni jipu, nini maana ya sio?
 
Nime kuelewa mkuu. But it happens some times kuto jitambua. Thanx
Mkuu hongera sana kw ujasiri wa kutokeza hapa hadharani.. Ni kujitambua huko.
Mungu azide kukupa ujasiri wa kusahau kadhia ya Gharama uliotumia kw Mchepuko ili uanze upya.
Ni kwel udhaifu haukosekani kwa hawa Viumbe waliojaliwa ulimbwende, Mungu ameumba, tamaa iwepo, hakuna ubishi ktk hilo.
Jambo muhimu ni uvumilivu na ujali kwako binafsi na kw Family pia.
 
Ndg yangu mtoa mada kuna kanuni za kuchepuka umezikiuka ndio maana unapata matatizo. Kwanza huyo dada sio mchepuko hiyo ni nyumba ndogo yako ambayo unaionea wivu na unataka kuimiliki peke yako kitu ambacho ni kinyume na utaratibu wa uchepukaji maana ukitaka kuwa alone hapo na mdada atataka akumiliki ndio pale unapotelekeza familia au kushtukiwa na mkeo. Ukitaka kuchepuka tafuta mtu mwenye jamaa (ila asiwe ameolewa) ili kama akiwa anahitaji tulizo anamtafuta jamaa yake na wewe unamega kipindi mnapopata nafasi, kumiliki demu peke yako wakati una mke lazima huyo demu atazingua kwa kuwa hutakuwa unamtimizia mahitaji yake ya kimwili haswa usiku wakati huko na mkeo. Natamani nikupe somo refu ila muda ndio hauruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…