Kwaheri mchepuko Wangu

Kesha kuchoka maskini, rudi njia kuu. By the way huyo mchepuko ni "side-chick" ama "side-hen"?
 
Na wewe hiyo "sio" yako mmmhhh..kilaza tu.
Note; sio= siyo?
 
asante mkuu.. halafu ndiyo inakuja eti single mama,........... mazafanta mfyuuuuuuuuuuuuuu

Hahaha. Kweli kabisa.

Sometime wengi hawatazami adhari inayotokana na maamuzi wanayofanya. Wanaona kawaida lakini kuna impact kubwa sana kwa mwingine. Ni vyema kuangalia impact ya maamuzi.
 
Hahaha. Kweli kabisa.

Sometime wengi hawatazami adhari inayotokana na maamuzi wanayofanya. Wanaona kawaida lakini kuna impact kubwa sana kwa mwingine. Ni vyema kuangalia impact ya maamuzi.
kweli kabisa.
 
Akishindwa kufuata ushauri huu itamlazimu akafuatilie uelekeo wa grafu katika cheti chake cha kuzaliwa aseeee
 
Miss Chaga nimekupenda bure
 
Hivi kweli we umeoa unawezaje kuwa na wivu na mchepuko nakushauri mpr talaka mkeo tu mana humtendei haki pumbavuuuu zakoo
 

Asante kwa darasa zuri, mimi ni mmoja wapo nilie nufaika na masahisho hayo.
 
Hehehee... Unampenda sana ila unaomba ushauri. Huezi kumuacha huyo.
Labda usingekuwa mwanaume wa dar kidogo ungefanya maamuzi mahumu
 
she is no longer in love with your wallet,leave her immediately before she destroys your marriage!!!!!
 
No comment mkuu.... It is very complicated...
 
Jaribu kumshirikisha mkeo hili jambo ila fanya kama unamhadithia kisa cha mtu flani.
Atakachoshauri fanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…