Mghoshingwa
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 305
- 73
Wakuu poleni kwa majukumu. Kabla hujafa hujaumbika ( unaweza pia kukumbuka). Miaka mitatu (3) iliyopita nilitokea kumpenda mdada mmoja wa kimachame kama mchepuko (maana nimeona na Nina familia). Tuliishi kwa amani na utulivu Mimi na huyo mchepuko...bila kuathiri Huduma za msingi za familia yangu. Cha kushangaza kila muda unavyo kwenda anaongeza wivu na Mimi kiasi ambacho kuna muda ana ninunia na kuona eti naegamia kwenye familia tu. Nikaanza kushtuka...! Miez 2 iliyo pita tuli gombana kidogo akanitumia Ujumbe wa kuniacha , nika kuomba radhi yakaisha.
Jana nili kwenda Ku mpick maeneo ya mbuyuni pale Morocco, nilipo fika kituoni nika park , hayupo abadai yuko ofisini anakuja. Aka nikalisha sana. Ulikuwa muda wa SAA 12 hivi. Akaja....nilivyo muuliza kwanini amechelewa na pale hakuna parking aka ninunia. Mpaka muda huu kanyamaza na Jana hukupokea simu ..anasema hutaki kuongea. NIWE MUWAZI nampenda huyu binti...ila naona kama ana ni mistreat. Mwenge ushauri wowote naomba plz. Ila Nina nia ya kumuacha rasmi.
Ni hayo tu .

Manka hongera sana kwa kuongea ukweli. 