Ila haya magari yalikuwa yanakunywa mafuta aisee.Jaguar,hammer na BMW mkuu
Kwahiyo hata usifurahie maana mbinyo utaongezeka mpaka tuweze kuafford
Ukiwa na mawazo madogo unakuwa mdogo kimaishaKwa maendeleo na utunzaji mazingira endelevu, dogodogo ndio mpango mzima. Magari madogo, nyumba ndogo, office ndogo, kula kidogo, mwili mdogo etc.
Haya magari yanatumia mafuta mengi na ni gharama kuyahudumia (service? na matengenezo.
Aliyetoa wazo na kuingiza magari haya serikalini hakuwa na mawazo endelevu.
Toyota Is Canceling The Land Cruiser In 2022 And It's About Time
View attachment 1186980
Sasa Mawaziri, ma Katibu Wakuu, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Wenyeviti wa Halmashauri, maDED, maDAS, Wenyeviti wa Bodi, Spika, Majaji,Wakuu wa Majeshi sijui watatumia magari gani.
====================
The 2020 Land Cruiser Heritage Edition may be the last we see of Toyota’s longest-lasting model name. TOYOTA.
It’s no secret the current generation Toyota Land Cruiser, which has been in production since 2007 and only received a mild refresh in 2016, is an outdated piece of machinery. At $85,000, it’s arguably overpriced as well. And, as of 2022, the Land Cruiser will be “exiting the market,” according to Jonny Lieberman at MotorTrend.
Hahah, eti M-binyo utaongezeka...Jaguar,hammer na BMW mkuu
Kwahiyo hata usifurahie maana mbinyo utaongezeka mpaka tuweze kuafford
CanceledHaya sasa, huko bongo walikuwa wanatutesa sana hasa mawaziri na wabunge, migari inabugia mafuta na kuwaumiza wananchi ambao kodi zao ndio zinachezewa
Enzi za JK tulikuwa tunazipata hadi kwa 3 million mkuu kwenye minada ya serikaliLand Cruiser lilikuwa overpriced sana sana; Ilikuwa inauza jina kuliko thamani yake. Good riddance
Minada ya serikali ya JK ilikuwa haijali kupata hasara; ndiyo maana serikali ilikuwa inapoteza hela nyingi sana za umma. Iwapo wao wananunua gari hilo kwa milioni 80 halafu wanaliuza mnadani kwa milioni tatu huoni kuwa huo ndio uwehu wenyewe?Enzi za JK tulikuwa tunazipata hadi kwa 3 million mkuu kwenye minada ya serikali