CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
khe shosti yangu ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi watu tunangangania kutajwa af we hutaki! mpaka naenda kusafisha nyota!
kumbe usuper star kazi eeehkha,wamenichosha mwaya yan haipiti post 2 hao washantaja me sitakiii. . .
You must be kidding
Aiseeee mama yangu usiondike achana na hao wajinga wajinaga na madhaifu kama jeeeekeiiii we tuendelee kupeana chakula cha ubongo mama yangu
kumbe usuper star kazi eeeh
wananibore aisee! ngoja niondoke ili nyoyo zao zifurahi. . .
khe shosti yangu ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi watu tunangangania kutajwa af we hutaki! mpaka naenda kusafisha nyota!
Sasa kipi kinakukera? Huwezi kum-control mtu kwa kile anacho kifanyayan Mwali nakereka square. tatizo co tag,me natumia cm so hzo tags wala sion ila ukifungua post unakuta washantaja hv wakoje me siwapendiiii jaman!
Usiondoke tumekuzoea.....
aku nshachoka kutajwa tajwa mie, nakosa amani kisa. . . baki na jf yenu !!!!!