Kwa zile pasi nilizoziona Dar, kule kijijini kwao River Plate tunaenda kupata msiba mzito

Chochote kinaweza kutokea kwa Yanga kupata matokeo mpira hauna nyumbani ni kujipanga kwa mbinu sahihi na kuchagua wachezaji sahihi. Yanga mechi ya Dar walikuwa wamewapa nafasi sana wapinzani wafanye wanavyotaka hawakufanya pressing tokea juu ili kutowapa nafasi wapinzani wao.

Wamewaacha Rivers wacheze kwa ku relax tu huku Yanga wakikabia kwa macho. Kwa mchezo uliochezwa Dar Rivers walipaswa kuondoka na ushindi mnono ila waneshindwa kutumia nafasi nyingi walizopata hilo ni tatizo pia kwa Rivers.

Upande wa Yanga wachotakiwa kufanya ni kuongeza viungo kati ikibidi Feisal arudi nafasi yake, kocha achague wachezaji wazuri mbona wachezaji wazuri wapo japokuwa bado timu haijawa nzuri. Yule Moloko asipangwe Yacouba asipangwe.

Yusuph Athuman anaweza kusaidiana vizuri sana na Makambo. Bangala pia sio wakuwekwa benchi. La muhimu zaidi wapambanie ITC ya Djuma na Aucho wanaweza kuongeza kitu kwa Yanga wachezaji wa. Yanga waongeze umakini kwenye kukaba na kutengeneza nafasi na kuzitimua nafasi chache zinazopatikana.

Yanga wana tatizo kubwa la kutoweza kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani. Ila mechi ya away bado naona Yanga kuna kitu wakikifanya wanaweza kwenda mapumziko wakiwa wanaongoza

ITC ya Djuma haina msaada kwa sasa,endapo itapatikana ataruhusiwa kucheza round inayofuata kama Yanga itafuzu.Lakini kwa mechi ya marudiano haruhusiwi,kama nilimwelewa vizuri Mwanasheria wa Yanga alilitolea maelezo hili.
 
Sawa hata asipo kuwepo ni swala la wachezaji wenyewe kujitoa jumlisha mbinu sahihi jumlisha upangaji mzuri wa kikosi. Nakumbuka Yanga waliwahi kwenda ugenini dhidi ya Al Ahly na kutolewa kwa mikwaju ya penati miaka ya nyuma. Hivyo kufungwa nyumbani sio tatizo kikubwa ni kujipanga na kuwa makini kwenye kukaba na kutumia nafasi ili kwa dakika 45 cha kipindi cha kwanza wapate goli pasipo kuruhusu goli.
 
Chochote kinaweza kutokea kwa Yanga kupata matokeo mpira hauna nyumbani ni kujipanga kwa mbinu sahihi na kuchagua wachezaji sahihi. Yanga mechi ya Dar walikuwa wamewapa nafasi sana wapinzani wafanye wanavyotaka hawakufanya pressing tokea juu ili kutowapa nafasi wapinzani wao.

Wamewaacha Rivers wacheze kwa ku relax tu huku Yanga wakikabia kwa macho. Kwa mchezo uliochezwa Dar Rivers walipaswa kuondoka na ushindi mnono ila waneshindwa kutumia nafasi nyingi walizopata hilo ni tatizo pia kwa Rivers.

Upande wa Yanga wachotakiwa kufanya ni kuongeza viungo kati ikibidi Feisal arudi nafasi yake, kocha achague wachezaji wazuri mbona wachezaji wazuri wapo japokuwa bado timu haijawa nzuri. Yule Moloko asipangwe Yacouba asipangwe.

Yusuph Athuman anaweza kusaidiana vizuri sana na Makambo. Bangala pia sio wakuwekwa benchi. La muhimu zaidi wapambanie ITC ya Djuma na Aucho wanaweza kuongeza kitu kwa Yanga wachezaji wa. Yanga waongeze umakini kwenye kukaba na kutengeneza nafasi na kuzitimua nafasi chache zinazopatikana.

Yanga wana tatizo kubwa la kutoweza kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani. Ila mechi ya away bado naona Yanga kuna kitu wakikifanya wanaweza kwenda mapumziko wakiwa wanaongoza

Chochote kinaweza kutokea kwa Yanga kupata matokeo mpira hauna nyumbani ni kujipanga kwa mbinu sahihi na kuchagua wachezaji sahihi. Yanga mechi ya Dar walikuwa wamewapa nafasi sana wapinzani wafanye wanavyotaka hawakufanya pressing tokea juu ili kutowapa nafasi wapinzani wao.

Wamewaacha Rivers wacheze kwa ku relax tu huku Yanga wakikabia kwa macho. Kwa mchezo uliochezwa Dar Rivers walipaswa kuondoka na ushindi mnono ila waneshindwa kutumia nafasi nyingi walizopata hilo ni tatizo pia kwa Rivers.

Upande wa Yanga wachotakiwa kufanya ni kuongeza viungo kati ikibidi Feisal arudi nafasi yake, kocha achague wachezaji wazuri mbona wachezaji wazuri wapo japokuwa bado timu haijawa nzuri. Yule Moloko asipangwe Yacouba asipangwe.

Yusuph Athuman anaweza kusaidiana vizuri sana na Makambo. Bangala pia sio wakuwekwa benchi. La muhimu zaidi wapambanie ITC ya Djuma na Aucho wanaweza kuongeza kitu kwa Yanga wachezaji wa. Yanga waongeze umakini kwenye kukaba na kutengeneza nafasi na kuzitimua nafasi chache zinazopatikana.

Yanga wana tatizo kubwa la kutoweza kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani. Ila mechi ya away bado naona Yanga kuna kitu wakikifanya wanaweza kwenda mapumziko wakiwa wanaongoza
Wewe wadanganye tu. Wale jamaa ungewasikia walichosema nafikiri ungewashauri yanga hata wasiende tu.
 
Mpira hauko hivyo mkuu. Unataka kusema jamaa watachezea mpira wa kishirikina? Kama ni mpira huu huu wa kawaida basi Yanga hawashindwi kupindua meza kikubwa ni mamba matatu tu moja ni mbinu na ufundi sahihi hapa ndio uwezo wa mwalimu mzuri unapoonekana. Unaingia na mbinu sahihi kwa kumsoma mpinzani wako. Pili ni uchaguzi sahihi ya wachezaji watakaoweza kuendana na mbinu. Tatu ni wachezaji kucheza kwa jihadi zote. Na la ziada ni kufanya sub kwa wakati sahihi na kwa wachezaji sahihi. Hiyo ndio kanuni ya mpira. Hata hao Rivers wana mapungufu yao hivyo ni kazi ya benchi la ufundi kutoa lock ili kuwafanya wakosee
 
POLENI WATANI JIANDAENI KUPOKEA KIPIGO KINGINE HUKO KIJIJINI NA ZENZO NDIO KATANGULIA ANAKWENDA KUUZA GAME YAANI KAZI MNAYO
Mimi mwanayanga ile zile pass zimenitisha.

Wale jamaa kila mtu anajua kupiga pasi na ikafika.

Jana refa alikuwa wetu. Na kama mnavyojua mpira wa africa kila mtu anabebwa na refa akiwa kwake, sasa nawaza zile pasi kule kijijini kwao port hotcourt river state itakuwaje.

Manara kwa kwelii ajiandae viboko vizito. Wanayanga hatunaga uvumilivu kwenye mambo serious.

Tukipigwa 4 kwa 0 kule river state kama mnyama alizopigwa kule soweto na kaizer. Lazima mgogoro mkubwa sana uibuke na msolla na engineer hersi na manara wajiandae kwa zengwe la kufa mtu.

Ushauri kwa msolla na wengine. Waanze maandalizi mapema sana kule nigeria tukapate matokeo mazuri. Timu iende mapema ikazoee hali ya hewa
 
Kama alikua kwenye fomu ugenini akiwa nyumbani yanga wahesabu maumivu tu, balaa la yule mwamba ni mara mbili ya Luis miquissone ..
Yaani Iniesta kanijaza "ujinga" sana. Nikiona mchezaji wa timu yoyote ni mfupi halafu ni kiungo na jezi yake ni namba 8 aisee naanza kumfuatilia kwa makini sana mechi ikiwa inachezwa. Wakina Mukoko na Mauya kazi wanayo.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
yule kijana ana ufundi wa aina yake na confidence ya hali ya juu sana, nilimuona namna ambavyo alikua ana penetrate kwenye safu ya ulinzi ya yanga .. ni hatari sana
 
Dah Uto mmekuwa wa baridi kiasi hiki🐵🐵 mbona mapema sana. Nenda mpigwe mrudi tu mtulie make hamna tofauti na wadangaji mnasubiri mabwana wapambane nyie tu mje kuchukua tu bure.

Sema naona siku hizi kuwachamba wenzenu mnaweza ila uwanjani sasa tabu tupu🐸🐸
Sasa Wewe Unafikiria Uto Kuna Team Lile Ni Genge Tu
Tungoje Aibu Tupu Toka Nigeria
 
Mimi mwanayanga ile zile pass zimenitisha.

Wale jamaa kila mtu anajua kupiga pasi na ikafika.

Jana refa alikuwa wetu. Na kama mnavyojua mpira wa africa kila mtu anabebwa na refa akiwa kwake, sasa nawaza zile pasi kule kijijini kwao port hotcourt river state itakuwaje.

Manara kwa kwelii ajiandae viboko vizito. Wanayanga hatunaga uvumilivu kwenye mambo serious.

Tukipigwa 4 kwa 0 kule river state kama mnyama alizopigwa kule soweto na kaizer. Lazima mgogoro mkubwa sana uibuke na msolla na engineer hersi na manara wajiandae kwa zengwe la kufa mtu.

Ushauri kwa msolla na wengine. Waanze maandalizi mapema sana kule nigeria tukapate matokeo mazuri. Timu iende mapema ikazoee hali ya hewa
Halafu kwenye heading siyo River plate ,ni River United
 
Back
Top Bottom