Kwa yule aliyeniulizia

Mafeminist ya jf need to see this ili wajifunze kua mwanamke ameheshimiwa sana kua mlezi wa familia na sio kutwa mitandaoni akishadadia maujinga ya haki sawa na kubishana na wanaume kama madume jike.

ila hata wakiona hawatajifunyma kitu they have never known how it is or even tought the norms duties of a woman.
 
Ni vizuri kuona bado upo mkuu. Mi ndo nimekuulizia na ujue nakukubali sana. Tuko pamoja mkuu mambo ya majukumu najua yapo ila hapa jf wewe ni mtu maarufu sana, tutawasiliana kuona mambo mengine yanaendaje
 
Uandishi ni ule ule 😂😂😂
Ila wewe upewe ukurugenzi kitengo cha intelejensia jf
Hivi humu jf mnashida gani na maisha ya watu mnahangaika ni yule ni huyu sijui nini mnashida ?? Eti uandiashi kwani nyie mwenye uandishi ndio nini nyie simhangaike na maisha yenu juu na hali hii mnaishi kwa kukariri maisha . Bakini mkikariri nishida zenu mnandama watu kama nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…