Unawajulia sana πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sanaaaa dear kwa nini lakini
Ndio ndio πJamaniii [emoji1787]
Hahahahahaπ nshakuelewa unajua sisi wengine ni slow lenaz.
Ulipotea nawewe sikuon kwenye masimulizi
Nimeona kuna sehemu kamind kaamua kujibu na id nyingine ππππ[emoji1787][emoji1787] yaani humu watu wanatufanya sijui watoto au vipiiii unabaki tu kuangalia anavyotaka ye atupeleke
Unawajulia sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ndio [emoji23]
Nimeona kuna sehemu kamind kaamua kujibu na id nyingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani watu wengine mnajiona mna umuhimu kweli humu
Hebu @mods unganisheni hii takataka na alipouliziwa
Miandiko inaumbua sana πππShida miandiko [emoji1787]
Sawa hilo usijali na madaktari nnao wengi kweli.Utanipeleka basi kumuona daktareee [emoji16]
π€£π€£π€£ Yani nimecheka balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeona uvumilivu umemshinda halafu akiangalia id aliyokuja nayo ameshalog out online yupo kwa id nyingine atafanya nini sasa bora ajibu
Miandiko inaumbua sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa hilo usijali na madaktari nnao wengi kweli.
Hilo limeisha mama labda kama kuna lingineNakutegemea usiniangushe [emoji16]
Ila nimecheka π€£π€£π€£Sanaaa kipenzi [emoji23] hata ufanye nini utaumbuka tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani nimecheka balaa
ππππ Na mi nashangaa alafu ukichunguza wote wanaongelea kitu kimoja..!![emoji23][emoji23][emoji23] jf unaweza ukagombana na mtu unashangaaa id zitakazokushambulia tena mpya unajiuliza hawa wametokea wapiii kumbe ni mtu mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na mi nashangaa alafu ukichunguza wote wanaongelea kitu kimoja..!!
Yani huyu akisema iki, na id nyingine inasema kile kile.!!!
Ukimtukana zile id nyingine zinakuja kujibu na kupeana support na zote story ni ile ile [emoji1787]