[emoji23] nshakuelewa unajua sisi wengine ni slow lenaz.
Ulipotea nawewe sikuon kwenye masimulizi
Hongera zako mwaya
Hivi dada ulisemaje juzi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ntakuchapa dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cheupe nimekumiss, nani kakuficha
Kwahiyo nipunguze tagging sio 😁[emoji1787][emoji1787] masimulizi ganiii kuna mapya ukoo me nimejikita kwenye simulizi ya singano jr ndio nipo nayo bampa to bampa hizo nyingine naogopa arosto
HahahahahahaYaani watu wengine mnajiona mna umuhimu kweli humu
Hebu @mods unganisheni hii takataka na alipouliziwa
Uandishi ni ule ule 😂😂😂[emoji1787][emoji1787] Shida mdogo wangu unapendaga kunibishia mpaka yatokee kama hivi ndio unakumbuka maneno yangu
😂 😂 😂 😂 😂 😂Yaani watu wengine mnajiona mna umuhimu kweli humu
Hebu @mods unganisheni hii takataka na alipouliziwa
Jf kichaka kina kila aina ya wanyama wa kufanana 😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila jf [emoji1316]
Kwahiyo nipunguze tagging sio [emoji16]
Uandishi ni ule ule [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wewe upewe ukurugenzi kitengo cha intelejensia jf
Ahsante maana nimeshakutag sana sikuoni ukirespond[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na tag pia sipati notification jamani ndio hapa inabidi nikachungulie sasa pole kipenzi
Jf kichaka kina kila aina ya wanyama wa kufanana [emoji23][emoji23]
Ahsante maana nimeshakutag sana sikuoni ukirespond
Hali ikiendelea hivyo kamuone daktari 😂Sipati notifation kabisa nina miezi kadhaa
Hali ikiendelea hivyo kamuone daktari [emoji23]