katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Kha unamuita mwanadamu mwenzako taka takaYaani watu wengine mnajiona mna umuhimu kweli humu
Hebu @mods unganisheni hii takataka na alipouliziwa
Hii ni maajabu kwa hiyo jf ulikua unafuatilia haya tu?Nawatoto nafamilia siwezi kuwa busy huku nafuatilia umbeya na matusi .
kuwa mpole tu yaisheHii ni maajabu kwa hiyo jf ulikua unafuatilia haya tu?
sawa mkuukuwa mpole tu yaishe
JamiiForums is not all about "Umbea na matusi", shida iko kwako, kwann unafatilia thread za umbea na matusi.Nawatoto nafamilia siwezi kuwa busy huku nafuatilia umbeya na matusi
Hii ni maajabu kwa hiyo jf ulikua unafuatilia haya tu?
😂 nshakuelewa unajua sisi wengine ni slow lenaz.Unaniangusha ujue kama haujasoma cuba shekhe ni yule yule kanzu tofauti
Kha unamuita mwanadamu mwenzako taka taka
Hivi dada ulisemaje juzi?? 🤣🤣🤣Hongera zako mwaya
Ntakuchapa dada 🤣🤣🤣Unaniangusha ujue kama haujasoma cuba shekhe ni yule yule kanzu tofauti
Nawatoto nafamilia siwezi kuwa busy huku nafuatilia umbeya na matusi . Umri unasonga na mtu majukumu yanazidi.