Kwa yeyote anayesoma Mkwawa University. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa yeyote anayesoma Mkwawa University.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Eriglo, Sep 21, 2012.

 1. Eriglo

  Eriglo Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninaomba unisaidiye kujibu yafuatayo:
  1. Ikiwa nimepata loan 100% ninatakiwa niende na kiasi gani wakati wa usajili?
  2. Je, kuna vyumba vya kupangisha karibu na chuo?
   
 2. Siraj

  Siraj Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me cpo muce ila ni mwenyeji wa pandi hizo nastay iringa town.....kuhusu kiasi cha kwenda nacho kwa upande wako ni michango tu mingine ya chuo ingia kwenye web yao nadhan ipo kama caution money,identity card etc...na kuhusu vyumba vipo vya kutosha karibu na chuo ni wewe tu kuelewana bei na mwenye nyumba na ni vyema kutafuta kabla haujaripoti cz weng muce mna 100% xo kuna uwezekano wa weng wenu kukaa off campus hivyo wenye nyumba wakijua kod yaweza panda.....ni hayo tu
   
Loading...