Kwa yeyote anayejua color correction tupeane ujuzi

mkalisniper

Member
Feb 18, 2017
20
5
ca882cb70385852f708a64f99a4c6fb5.jpg

Hii snap ya video nilio Tengeneza
Program nilio Tumia ni Sony Vegas
Na plug nilio Tumia sana ni magic bullet 12
Kwa mtaalam wa Mambo haya si mbaya kama tuta peana maujuzi mengine
 
Back
Top Bottom