Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
kwa yule anayehitaji kuandikiwa andiko la mradi ( project poposal), andiko la utafiti (research proposal), mchanganuo wa biashara (Bussiness plan), facilitator (muwezeshaji katika masuala ya ujasiriamali, afya ya uzazi, VVU/UKIMWI), elimu ya vijana katika kuunda vikundi vya kuweka na kukopa (GSLA/VSLA) kwa kuwatengenezea katiba na mfumo wa kumbukumbu, ripoti ya utafiti,kuandaa bonanza, programu za kusaidia jamii, katiba ya kufungua NGO, MOU ya kampuni, na kupata mawazo mazuri ya kibiashara na kisiasa kujijenga, karibu tuwasiliane kwenye pm mimi ni kijana niliyeamua kutumia taaluma yangu kuweza kujiongezea kipato, nakaribia kumaliza ajira yangu ya mkataba hivi karibuni kulingana na mradi kuisha, hivyo natumia muda huu kufanya shughuli hizo binafsi. karibuni sana pia kwa mtu asiyekuwa na uwezo lakini ana nia ya kujisaidia naweza msaidia. asanteni. kwa pamoja tukishirikiana tutafikia malengo.