Kwa yeyote anaeweza kufanya kazi yeyote wakati wa free time aje inbox

miamiatz

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
504
927
Kwa wale ambao wanaamini wana uwezo wa kufanya kazi mbali mbali katika kada yoyote ile kama:

Graphic Design (Photo Editing, etc), Branding, Web Design, App Development (Java based), Html, Css, Php, Kufunga mahesabu, kufanya tax returns, kufanya marketing, kufanya promotion, kufanya sales, etc etc.

Kama una ujuzi wowote na unadhani una muda wa kutosha kufanya kazi njoo inbox nikupe details.

Note: kwa walio serious tu. Kama una maswali uliza yote yatajibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiufupi inahitaji wenye ujuzi na ambao wapo tayari kuutumia kupata extra income. Might be main income kama mtu akiwa mjuzi mzuri na anazifanya kazi za wateja vizuri tunampa project nyingi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZINGATIA: Mafanikio hayaji mtu awapo desperate. Kazi tunayoiongelea hapa inahitaji kiasi kikubwa cha ujuzi na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa.

Najua vijana tuna changamoto kubwa ya ajira. Najua vijana tuna uwezo wa kufanya kazi ila ajira hakuna.

Hii ndio sababu tuliona badala ya kuajiri watu wafanye kazi ofisini ni bora kufanya crowdsourcing.

Crowdsourcing itatoa nafasi kwa vijana wengi kujiunga na platform yetu ila pia ndani ya hiyo platform watu watashindanisha uwezo wao kwa kuangalia team ipi inamaliza project haraka.

Nani akipewa kazi anaifanya kwa ufanisi zaidi. Pia kutakuwa na demos zitakazohitajika kuprove kile mtu anachodai anaweza kukifanya.

Kiukweli kazi ni nyingi sana na hata ofisi iwe na watu mia hawayoshi kukidhi matakwa ya soko na bahati mbaya kwenye maofisi watu wanafanya kazi kwa mazoea hakuna ushindani.

Watu hawapati changamoto wala hawaongezi uzoefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isije ikawa ni wazee wa forever living, forex au Gnld mmekuja kwa gia ingine
Kunakuwa na kazi na zinakuwa na deadline wateja wanatoa. Tutakuunganisha kwenye project management platform yetu na mnaweza kuwa watu wa marketing hata watano tunaangalia ukubwa wa kazi tunapick idadi ya watu kati ya hao watano tunawauliza watacharge bei gani kuifanya.

Watasema na sisi tutajadili na mteja then wale walioteuliwa kuifanya ama hata kama ni mtu mmoja ameikubali ama ameteuliwa kuifanya ataifanya na kusubmit kwa admin wa portal then tunajadiliana na mteja akihitaji kitu kiongezwe tunarudi kwa alieandaa. Mawasiliano yote yanakuwa through the online project management portal.

Kwenye portal kazi moja ikipangwa kwa watu zaidi ya mmoja ukiingia katika hiyo kazi utaona team members na team head. Team head atawajibika kuhakikisha inakidhi ubora anaoutaka mteja.

Ila ili kupima ubora wa watu tunaowaunga kwenye huu mtandao wa kufanya kazi za ziada tunapima ujuzi wa huyo mtu. Tunahitaji documents na pia tukishamuunga kwenye portal tunahitaji ademonstrate skills zake kabla hatujamuingiza ktk team yoyote ya kutekeleza project flani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhima hasa ni kutoa kazi ama tangazo lako linalenga kufanikisha nini?
Dhima hasa ni crowdsourcing ktk kufanikisha kutimiza kazi za wateja. I think crowdsourcing ni efficient zaidi ktk utekelezaji wa kazi mbalimbali kuliko kuajiri.

Thats why nchi za mbele mitandao kama freelencer.com ina kazi nyingi sana na zinafanywa kwa bei nzuri.

I think crowdsourcing ni njia mbadala ya kuchangia kutatua tatizo la ukosefu wa linkage kati ya wahitaji huduma na watoa huduma wenye uwezo wa kutosha.

Each of the member of the crowd or each team will competitively indicate their price and the most efficient and cost effective person or team will be awarded the work.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom