Kwa yeyote ambaye hajawahi kuona au kusikia Jini

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,113
24,642
Jini ni hili hapa jana ameoneka maeneo ya lugoba hakuleta madhara yeyote
Nimeikuta hii habari mahali...
930a42c36e1ac36485df28dee79ee3a1.jpg

873a430693e1445d186144cb256638f0.jpg
5d64f79893d67c28750d1c7db1a1d8e1.jpg
 
Hhmm.. Hilo jini lilikuwa linaweka kabisa mapozi ili lipigwe picha vizur, kweli kazi ipo. Ndio teknolojia nini.. Mixer katoa mtandio, kaweka mguu poa..
 
ha ha ha ha ha jini kwa kwel kaweka na pozi kabisa embu msituchezee hapa mwenye ujasiri wa kupiga picha jin kwa kweli
 
Jini ni hili hapa jana ameoneka maeneo ya lugoba hakuleta madhara yeyote
Nimeikuta hii habari mahali...
930a42c36e1ac36485df28dee79ee3a1.jpg

873a430693e1445d186144cb256638f0.jpg
5d64f79893d67c28750d1c7db1a1d8e1.jpg
Inaweza isiwe kweli. picha ya kwanza amevaa nguo ndefu. ya pili hana ushungi. pia sura tofauti. ya kwanza kama mzee hivi na yapili kijana. hiyo miguu picha ya kwanza ina vidole vinne. ya pili vitatu. na rangi za miguu hazifanani. halafu bado mtu amekomaa kumpiga picha zote hizo.wakati midude kama hiyo ikionekana ukipata nguvu za kukimbia mshukuru mungu
 
Back
Top Bottom