Waterlemon
Senior Member
- Sep 2, 2016
- 143
- 199
- Thread starter
- #41
Unamwogopa shoga? Kwani kukana sh.ngapi! Jiamini, hakukuona uchi au mmepandiana
Small minded people won't understand
Hakunikamata kwenye tukio kweli lakini aliloona nalo ni tukio. Nilikuwa nikipapaswa mkono huku nami wangu kushuka kwenye paja la mdada.
Kwa hiyo niruke mbingu ya saba kama Shaggy ya lolote nitakaloulizwa niseme "wasn't me" au sio?