Kwa yaliyonikuta...

Kwa yaliyonikuta...

Mm huku demu kanichukia ,hataki hata kunisikia kutokana na mimba nliyompa. Yan ww waokota dodo kwenye mwembe waja kuomba advice.
 
Mm huku demu kanichukia ,hataki hata kunisikia kutokana na mimba nliyompa. Yan ww waokota dodo kwenye mwembe waja kuomba advice.

Dodo ni lililoiva na kukolea mkuu. Yaliyofuatia baada ya hapo ni majanga ndio maana nikatia nukta kujua maamuzi ya wenzangu kituoni hapo. Wengi wangeelekeza usukani kuelekea wapi? Kwenye fikra za wengi nahisi ni kituo kizuri hicho cha kufanya maamuzi ndio maana nikasimama kwanza. Ila maisha ni safari kwenye msitu wa mwiba. Potea njia ujichome.
 
Inaweza kuwa story nzuri lakini umeikatisha tu. Alivyokusalimu ukamjibu, baada ya salam nini kiliendelea...?

Stori nzuri kwa msomaji. Kwa mhusika linaweza kuangukia popote pale. Mavuno au mafuriko
 
Kama alishuka kituo cha mbele na ulipo shuka ww akarud nyuma kukufata duu napata picha kuwa alikua anakufanyia makusudu kukuleta Matako yake
Kifupi ana haja na wewe
 
Utakuwa ulikuwa unajaribu kumbaka kisirisiri kwa hiyo, alikufuta ili yeye akakubake waziwazi.
 
Kama alishuka kituo cha mbele na ulipo shuka ww akarud nyuma kukufata duu napata picha kuwa alikua anakufanyia makusudu kukuleta Matako yake
Kifupi ana haja na wewe

Hapo sasa.... nakuongezea zaidi majanga uyaone mwenyewe. Uzi mstarini
 
Unamwogopa shoga? Kwani kukana sh.ngapi! Jiamini, hakukuona uchi au mmepandiana

Small minded people won't understand
 
Back
Top Bottom