Kwa wote wenye Computer Programming skills(CS, SE, CE and the like)

Kwa wote wenye Computer Programming skills(CS, SE, CE and the like)

Izc

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
546
Reaction score
368
Habari wanajukwaa,

Nahitaji kubuild solid foundation katika maswala ya "COMPUTER PROGRAMMING".

Nimeamua kusoma degree program mwaka huu ili niweze kupata hizo skills. Ningetaka zaidi kusoma distance training na nafasi hiyo naona ipo OPEN UNIVERSITY pekee.

Na challenge ni kwamba hicho chuo hakitoi program ya COMPUTER SCIENCE ila kina offer Bs. ICT pekee.

Sasa swala langu ni kutaka kujua kwamba je,

=> Course ya Bs. ICT inaweza kunipa ujuzi unaohitajika kuwa programmer mzuri?
=> Nini naweza kufanya ili kuji-equip vizuri na programming skills endapo ntaamua kusoma Bs. ICT?

Karibuni kwa ushauri.
 
Kama ishu ni programming tu unaweza soma online bure na kujinoa kwa speed yako; sites kama codeacademy, code.com nk zinafundisha programming bure.

Kila la kheri
 
  • Thanks
Reactions: Izc
Kama ishu ni programming tu unaweza soma online bure na kujinoa kwa speed yako; sites kama codeacademy, code.com nk zinafundisha programming bure.

Kila la kheri
Ishu ya msingi kabisa ni programming lkn pia nahitaji kupata institution program inuyosuit majitaji yangu
 
ndio ict inatosha japo computer science ingekuwa nzuri kwako ila kujua programming ni bidii yako tu kama huna passion hata ungesoma software engineering bado usingeweza kucode
 
  • Thanks
Reactions: Izc
Asante kwa ushauri wakuu
 
Back
Top Bottom