kiongozi sio kwamba shuguli siiwezi! hapana, shuguli naipiga vizuri lakin tatizo ni matamanio yanarudi kwa haraka sana baada ya mchezo, unakutakua refa anapiga filimbi kwa anaza round. πππ
me ilikuwa narudi nao usiku yaan nikienda job jion nikiwa narud lazima nirud na demu mpya,,,.ila nyumba za kupanga wanazingua sana ndo maana saa iv natafuta nyumba isiyo na mama mwenye nyumba
hii kitu ilinimaliza mwili hatariii pamoja na kwamba nilikua napata lishe nzuri tu kila siku inshort sitairudia tena maana nilikua napiga siku zote saba za wiki tena zaidi ya goli moja