kwa wiki unatakiwa ufanye mapenzi mara ngapi

kwa wiki unatakiwa ufanye mapenzi mara ngapi

Utafanyaje ngenye kwenye nyumba ya kupanga ni upumbavu uliokithiri

Kama unataka nenda loji
 
Kiongozi nikuhakikishie hicho kidudu kingekua kifutio mara hii wewe ungekuwa umefikia hatua ya kubadilishwa matumizi, hebu jaribu kutafakari kidogo
kiongozi sio kwamba shuguli siiwezi! hapana, shuguli naipiga vizuri lakin tatizo ni matamanio yanarudi kwa haraka sana baada ya mchezo, unakutakua refa anapiga filimbi kwa anaza round. 😀 😀 😀
 
me ilikuwa narudi nao usiku yaan nikienda job jion nikiwa narud lazima nirud na demu mpya,,,.ila nyumba za kupanga wanazingua sana ndo maana saa iv natafuta nyumba isiyo na mama mwenye nyumba
Hah hah nautapanga sana, maana kila moja anaondoka na mfuko wa simenti na bati.
 
hii kitu ilinimaliza mwili hatariii pamoja na kwamba nilikua napata lishe nzuri tu kila siku inshort sitairudia tena maana nilikua napiga siku zote saba za wiki tena zaidi ya goli moja
sawa
Mara tano kwa wiki unamaanisha magoli matano au vipindi vitano? torvic
mara tano kwa wiki yani kila siku nachapa mzigo, sasa magoli inategemea siku na siku.
 
Back
Top Bottom