kwa wiki unatakiwa ufanye mapenzi mara ngapi

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
4,444
Reaction score
11,035
wadau! habari zenu.
swali ndio hilo wakuu, maana najiona nakosea sana lakini nahisi kama nakosa suluu kwa hili swala. yani napenda sana migegedo kwa wiki naweza nikagegeda hata mara 5 hadi muda mwingine najihisi mchovu lakini hamu bado inakuwepo kwa asilimia 750%
sasa ndio maana nauliza, hivi kwa kawaida inatakiwa mtu awe ana gegeda mara ngapi kwa wiki, yani ile kiafya zaidi maana sio kwa fasheni hii nayoenda nayo.
 
Unatakiwa ufanye kama
Safari za british airways
 
Nadhan unagegeda kwa asila kijan coz ulivikosa ivyo vitu kwa wakat sahii
 
hii kitu ilinimaliza mwili hatariii pamoja na kwamba nilikua napata lishe nzuri tu kila siku inshort sitairudia tena maana nilikua napiga siku zote saba za wiki tena zaidi ya goli moja
 
Mara 5 inapendeza zaidi,mm napenda kupumzika siku malaria ikinipanda zaidi
 
Kufanya mara nyingi sio tatizo,
Ila kukojoa mara nyingi ndio tatizo, dhibiti kojo mkuu
 
Reactions: k29
Kiongozi nikuhakikishie hicho kidudu kingekua kifutio mara hii wewe ungekuwa umefikia hatua ya kubadilishwa matumizi, hebu jaribu kutafakari kidogo
 
nilifuruliza siku 5 wanawake wa5 tofauto yaan anatoka uyu anaingia uyu had mama mwenye nyumba akaniita kunisema,,[emoji16]
 
nilifuruliza siku 5 wanawake wa5 tofauto yaan anatoka uyu anaingia uyu had mama mwenye nyumba akaniita kunisema,,[emoji16]
Nami nishawahi kukutana na hilo suala,nilipishanisha mara tatu ndani ya siku moja,wa kwanza aliingia asubuhi,wa pili mchana baada ya wa kwanza kutoka,wa tatu aliingia usiku baada ya wa pili kutoka na alilala hadi asbh.Halafu siku inayofuata akaja mpya baada ya yule aliyelala kuondok asubuhi.Mama mwenye nyumba alinifuata na kunipiga beat la kupew notisi nihame nyumba yake kwani sio guest house!!
 
me ilikuwa narudi nao usiku yaan nikienda job jion nikiwa narud lazima nirud na demu mpya,,,.ila nyumba za kupanga wanazingua sana ndo maana saa iv natafuta nyumba isiyo na mama mwenye nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…