Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,395
- 10,836
wadau! habari zenu.
swali ndio hilo wakuu, maana najiona nakosea sana lakini nahisi kama nakosa suluu kwa hili swala. yani napenda sana migegedo kwa wiki naweza nikagegeda hata mara 5 hadi muda mwingine najihisi mchovu lakini hamu bado inakuwepo kwa asilimia 750%
sasa ndio maana nauliza, hivi kwa kawaida inatakiwa mtu awe ana gegeda mara ngapi kwa wiki, yani ile kiafya zaidi maana sio kwa fasheni hii nayoenda nayo.