Si tumejichagulia hivyo?? au?😀😀Kweli dunia haina usawa
Nafikiria wote tukiitikia wito itakuwaje huko tutakokutania😀😀Hata sisi tutaparty kwa distance
Duniani kuna watu na viatu.Kweli dunia haina usawa
Hatutakagi stress sisi, na hatupangiwi😂😂Si tumejichagulia hivyo?? au?😀😀
Nami nasubiri nione itakuwaje😂Nafikiria wote tukiitikia wito itakuwaje huko tutakokutania😀😀
Na wewe utaenda kwenye party?Hatutakagi stress sisi, na hatupangiwi😂😂
Naachaje mfano! Hapa badae naenda kwenye maduka ya punguzo la 80% kutafuta kiwalo cha partyNa wewe utaenda kwenye party?
Noma kawarahisishia kabisa mchakato wenyewe... Kila la kheri usisahau barakoa!!Naachaje mfano! Hapa badae naenda kwenye maduka ya punguzo la 80% kutafuta kiwalo cha party
Asante, barakoa na sanitizer zitahusika sana siku hyoNoma kawarahisishia kabisa mchakato wenyewe... Kila la kheri usisahau barakoa!!
😁😁Hatutakagi stress sisi, na hatupangiwi😂😂