Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,091
- 15,745
Ukienda kwa sasa jitahidi kufanya mapema booking ya Lodge za budget ya 20k mpaka 40k zilizopo katikati ya mji. Tanga saizi wageni wengi madereva wa IT, tanker za mafuta, maroli ya mizigo. Ukichelewa vyumba vinajaa mapema