Witmak255
JF-Expert Member
- Feb 5, 2019
- 3,264
- 5,450
- Thread starter
- #21
Mkuu Kuna kibeach kimoja nimeelekezwa Kiko Raskazone mageuzio mbele ya bombo hospital at least macho yameanza kupendezeshwa
Mzee una nyenzo "gari" haina haja ya kwenda hata night club. Saizi washa nyenzo nenda Forodhani Garden leo watoto wakishua+wenye ushungi wapo out.
Watoto wakikuona upo ndani ya gari lazima wanase. Hapo utakutana na wakila aina uswahilini na ushuani.
Sent using Jamii Forums mobile app