Kwa wenyeji wa mwanza

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
Jamani me mgeni hapa mza, nimefika jana tu, cjui pa kuanzia wala pakumalizia kuhusu kujirusha, tafadhali niagizien alhamis ya leo naweza kwenda wapi kurusha roho??
 
hahahahahahaha,,,,,aliko dangote rarely sleeps and his collegues never sees him sleep but stay awake at the office,,mza kuna gold bussines ka wewe mjanja na plenty of other opportunities
 
tulia kwanza maeneo ni mengi
umekuja mza kuishi ama mpita njia?
 
Aaahh.... Wengine hapa tushapoteza network tutakujibu kesho.

BTW karibu jijini Mwanza The Rock City, pia jibu maswali ya fidelity ndipo tuendelee!!!
 
Last edited by a moderator:
Karibu mkuu! Evenif napata shida kwa kila ajae Roca Cirry sijawahi sikia anaeuliza the map way to Mosque either Church or Temple somehow!
 
Karibu mkuu! Evenif napata shida kwa kila ajae Roca Cirry sijawahi sikia anaeuliza the map way to Mosque either Church or Temple somehow!

wewe jana ulitutangazia sijui wewe na ynah mpo pamoja sasa mwenzio yukwapi??au unamuacha anapigwa na baridi unakuja kukaribisha wageni usiku usiku.
Kumbuka sisi wasukuma ni mwiko kumkaribisha mgeni usiku
 
Yaani amu sijui umenioteaje? Rightnow ndo YNNAH ananipokonya simu anadai nimsaplai HAKI yake TAKATIFU!
Haya bana alamsiki, ngoja niingie majukumuni.
Chaoo!
 
Last edited by a moderator:
wewe jana ulitutangazia sijui wewe na ynah mpo pamoja sasa mwenzio yukwapi??au unamuacha anapigwa na baridi unakuja kukaribisha wageni usiku usiku.
Kumbuka sisi wasukuma ni mwiko kumkaribisha mgeni usiku

Very interesting!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…