Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 421
- 484
Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kariakoo msaada tujuzane wapi ntapata suruali hizi kwa bei nafuu maana huku ni 38 tunaambiwa
Mcheki huyu Jamaa anauza kuanzia 25Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kariakoo msaada tujuzane wapi ntapata suruali hizi kwa bei nafuu maana huku ni 38 tunaambiwa
Jamaa yupi mbona ujamuweka?Mcheki huyu Jamaa anauza kuanzia 25
😁😁😁 naona mhusika kapotea namsubiri akiwa active nimpe info zake, kwani na wewe unahitaji?Jamaa yupi mbona ujamuweka?
Mimi mwenyewe winga kama una uhitaji namba ni zile zile😁😁😁 naona mhusika kapotea namsubiri akiwa active nimpe info zake, kwani na wewe unahitaji?
Usiniambie 😁😁Mimi mwenyewe winga kama una uhitaji namba ni zile zile
Ndio nishakuambia umechelewa kunikatazaUsiniambie 😁😁
Itabidi 😁😁 nikutafuteNdio nishakuambia umechelewa kunikataza
Wahi bila kuchelewaItabidi 😁😁 nikutafute
Sawa sawaWahi bila kuchelewa
My crush 😋🥰Sawa sawa
Doh! Toka lini tena😀My crush 😋🥰
Long time ago Mamacita 🥰Doh! Toka lini tena😀
Usiniambie bhana😎Long time ago Mamacita 🥰
Ndio nimesha kuambia hivyo my parachute ❤️Usiniambie bhana😎