Kwa Wenye Vitambi tu!!!

Kwa Wenye Vitambi tu!!!

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,915
Reaction score
30,027
1. Kitambi Mvurugo --
hiki kitambi kimekaa
kama O.
Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.


2. Kitambi Mchuchumio --
Hiki kitambi kimekaa
kama
herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na
bia
za ofa.


3. Kitambi Mbonyeo --
Akivua shati kitovu
hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila
akisimamishwa kazi kinaisha.


4. Kitambi Mtepeto --
Ni kitambi cha wastani
ambacho ukivaa nguo pana hakionekani.
kinasababishwa na kula mno
viporo.


5. Kitambi Mfumanio:
hiki mtu anakuwa hana
pesa ila
kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa
ukubwani.


6. Kitambi Mtunguo:
Hiki wanacho sana wadada.
Kina
umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa
Maombi tu.[h=5][/h]
 
Haahhaha duuu hii kali

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Naona kama umeacha kimoja,kitambi kinakuwa juu juu utafikiri mimba changa ! hicho ni kwa wale wapiga masanga za kienyeji (pombe za kienyeji zozote twende)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom