upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,086
- 4,526
1. Kitambi Mvurugo -- Hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.
2. Kitambi Mchuchumio -- Hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa.
3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila
akisimamishwa kazi kinaisha.
4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. kinasababishwa na kula mno
viporo.
5. Kitambi Mfumanio -- Hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.
6. Kitambi Mtunguo -- Hiki wanacho sana wadada. Kina umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu.