Daddo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,435
- 1,025
Habari wana jukwaa.
Ninahitaji la kununua pikipiki tatizo sijui lolote juu ya hizo pikipiki zaidi ya kuendesha tu. Kama kuna mtu mwenye uelewa anisaidie ushauri kuhusu uimara, vifaa, maduka yanayouza na kama inawezekana na bei.
Note> Ni kwa matumizi yangu binafsi na mara nyingi ni kwenye roughroad. Naihiji hasa kwa matumizi nikiwa likizo kijijini kwangu. Natanguliza shukrani wakuu.