ISSAHMTONO
Member
- Mar 3, 2015
- 72
- 14
nataka kucheki PV katika maji bei yake ni kiasi ganHabari,kwa mtu yeyote anaehitaji msaada wa kitaalamu kuhusu water quality karibuni,pia drinking water industries owner kwa wanaohitaji "water quality lab.technician wenye experience wapo,wapo wanaofanya kazi Aqua cool Ltd.(kisima water)Maji Afya n.k
Ubungo MajiUhandisi wa maji unatolewa na chuo gaz tz
Naweza pata internship ktk kiwanda chenu niongeze experience ya mwezi mmoja?Habari,
kwa mtu yeyote anaehitaji msaada wa kitaalamu kuhusu water quality karibuni,pia drinking water industries owner kwa wanaohitaji "water quality lab.technician wenye experience wapo,wapo wanaofanya kazi Aqua cool Ltd.(kisima water)Maji Afya n.k
Mheshimiwa nataka kuanzisha small firm ya water processing ...yani small industry for bottle water parking...ebu nipe ushauri and the way forward ila mitambo nayotaka kutumia ni midogo ntaagiza china...PH ni scale ambayo uonesha maji yako yana hali gani,nikiwa n maana kama ni Acidic,Alkalinity (salt taste)au yapo katikati yaan neutral pH,katika mwili pH haina madhara yeyote kitaalam imewekwa katka secondary drinking water,ikimaanisha ni isiyo n madhara ila usababisha salt taste pale pH range ikiwa juu ya 7,n ikiwa chini ya hpo utapata radha ya maji kama yanakutu fulani iv,Sababu yapo acid,pH pendekezi katika maji n (6.5-8.5)
Preservatives like ozone ambayo inasaidia kuua bacteria (sometimes inatumika kwny maji badala ya chlorine lakini yenyewe ni gharama kuliko chlorine), vile vile ozone inatumika ktk kutunza maji yaendelee kuwa ktk ubora wake mara baada ya kuwa yametibiwa lakini hizi preservatives zina madhara endapo utaanza kuyatumia maji Mara baada ya Kutibiwa. Mfano: haushauriwi kutumia maji ambayo yako packed (bottled drinking water) kabla ya dk20 kupita baada ya kuwa packed, endapo tu ozone imetumika kama preservative.Preservatives zinawekwa kwenye maji? Zina madhara?
PH ni nini? Ina msaada gani mwilini?