Kwa wenye swali lolote kuhusu water quality

ISSAHMTONO

Member
Mar 3, 2015
72
14
Habari,

kwa mtu yeyote anaehitaji msaada wa kitaalamu kuhusu water quality karibuni,pia drinking water industries owner kwa wanaohitaji "water quality lab.technician wenye experience wapo,wapo wanaofanya kazi Aqua cool Ltd.(kisima water)Maji Afya n.k
 
Habari,kwa mtu yeyote anaehitaji msaada wa kitaalamu kuhusu water quality karibuni,pia drinking water industries owner kwa wanaohitaji "water quality lab.technician wenye experience wapo,wapo wanaofanya kazi Aqua cool Ltd.(kisima water)Maji Afya n.k
nataka kucheki PV katika maji bei yake ni kiasi gan
 
Preservatives zinawekwa kwenye maji? Zina madhara?

PH ni nini? Ina msaada gani mwilini?
 
kwanini details zilizopo kwenye label huwa ni tofauti na kilichopo ndani kwamfano maji ya ndanda springs yameandikwa ph ya 8.0 but ukipima unakuta 5.3?
 
MKuu,kwa sasa hatufanyi permanganate value(pV) ila ningejua ulipo ningekusaidia kuku-connect na expert wengne.Ahsante
 
Preservatives hazina madhara mf.ozon katika maji kwa sababu inasaidia maji Kukaa mda mrefu (shelf-life)sema ina harufu ambayo baada ya muda hupotea kabisa.
 
Zipo sababu za kitaalam ambazo ufanya pH kubadilika,sababu kuu ni joto (temperature)wakat maji ya ndanda yanapima joto lilikuwa dgo ndo maana pH kawa kubwa,baada ya muda "temperature "itakuwa ilipanda n ikasababisha oH kushuka, pH ipo inversely proportional n temperature,sababu nyingine yaweza kuwa instrument iliyotumika kupima maji pengine haikufanyiwa "calibration "kwa iyo lazma isome tofauti.
 
PH ni scale ambayo uonesha maji yako yana hali gani,nikiwa n maana kama ni Acidic,Alkalinity (salt taste)au yapo katikati yaan neutral pH,katika mwili pH haina madhara yeyote kitaalam imewekwa katka secondary drinking water,ikimaanisha ni isiyo n madhara ila usababisha salt taste pale pH range ikiwa juu ya 7,n ikiwa chini ya hpo utapata radha ya maji kama yanakutu fulani iv,Sababu yapo acid,pH pendekezi katika maji n (6.5-8.5)
 
maji hubadilika kulingana na source,so pH,TDs,EC,TH,salts hubadilika.pia hamna chemical zinazo ongezwa katka maji,isipokuwa kuna watu hawajui pH adjustment then wana dose caustic after R.O,
 
Vzr mkuu,unatumia njia gani ku raise oH baada ya Maji yakitoka kwenye RO?ukiacha bypass way
 
Habari,

kwa mtu yeyote anaehitaji msaada wa kitaalamu kuhusu water quality karibuni,pia drinking water industries owner kwa wanaohitaji "water quality lab.technician wenye experience wapo,wapo wanaofanya kazi Aqua cool Ltd.(kisima water)Maji Afya n.k
Naweza pata internship ktk kiwanda chenu niongeze experience ya mwezi mmoja?
Nataka kuwa vizuri kwenye maji
 
Uhandisi wa maji vpo vyuo kama,SUA,ATC,WI,zaman pia Udsm walikuwa wanatoa sina hakika kama bado inaendelea
 
PH ni scale ambayo uonesha maji yako yana hali gani,nikiwa n maana kama ni Acidic,Alkalinity (salt taste)au yapo katikati yaan neutral pH,katika mwili pH haina madhara yeyote kitaalam imewekwa katka secondary drinking water,ikimaanisha ni isiyo n madhara ila usababisha salt taste pale pH range ikiwa juu ya 7,n ikiwa chini ya hpo utapata radha ya maji kama yanakutu fulani iv,Sababu yapo acid,pH pendekezi katika maji n (6.5-8.5)
Mheshimiwa nataka kuanzisha small firm ya water processing ...yani small industry for bottle water parking...ebu nipe ushauri and the way forward ila mitambo nayotaka kutumia ni midogo ntaagiza china...
 
Good idea mkuu,itakulipa tu we need water all time,cha msingi lazma ujue requirements required for your field,km vile laboratory equipments,chemicals,na kwa kuwa umesema small bottles unahitaji "preservatives"km ozone technology kwa ajili ya shelflife ya maji yako,sababu maji ya chupa ndogo hukaa sana tofauti n let say 18.9Ltres ambayo ayo ayahitaji preservatives,feel free kuuliza chochote utakapoanza au ata unapofikiria kuanza,pia usisahau go ahead toka TFDA,TBS.Ahsante
 
Preservatives zinawekwa kwenye maji? Zina madhara?

PH ni nini? Ina msaada gani mwilini?
Preservatives like ozone ambayo inasaidia kuua bacteria (sometimes inatumika kwny maji badala ya chlorine lakini yenyewe ni gharama kuliko chlorine), vile vile ozone inatumika ktk kutunza maji yaendelee kuwa ktk ubora wake mara baada ya kuwa yametibiwa lakini hizi preservatives zina madhara endapo utaanza kuyatumia maji Mara baada ya Kutibiwa. Mfano: haushauriwi kutumia maji ambayo yako packed (bottled drinking water) kabla ya dk20 kupita baada ya kuwa packed, endapo tu ozone imetumika kama preservative.

PH kwa lugha nyepesi ni hali ya acidic/alkalinity. PH ina range from 0 - 14 , PH ikiwa chini ya 7 tunasema hiyo ina hali ya acid, lakini PH ikiwa 7 tunasema hiyo ni neutral haina hali ya acid au alikaline (yaan kwa lugha nyingine acid-alkaline zimebalance). Lakini PH ikiwa juu ya 7 tunasema hiyo ina hali ya alkaline.

Sasa nini msaada au madhara ya acid katika mwili??
Kwanza katika maji inashauriwa anghalau PH iwe kati ya 6.5-8, lakini best recommended ni 7.

Kumbuka maji katika mwili yanafanya kazi nyingi ikiwa ni pamoja na kufyonzwa ktk mishipa ya damu, na damu inafanya kazi kwa ufasaha katika PH ya 7.4 (hapa tunasema health blood). Kwahiyo mwili unahitaji pH inayokaribiana na ya kwenye damu ili isilete mabadiliko makubwa katika pH ya damu. Lakini pia hormones and enzymes zinakuwa secreted katika specific pH, Ndio maana tunashauriwa kunywa maji yenye pH 6.5-8 (kwa most developing countries) ili iwe rahisi kwa mwili kuibalance iwe 7.. Lakini kwa most developed countries wako stricts pH yao inachezea 7.

Kama pH itakuwa ndogo sana au kubwa sana mwili utashindwa kufanya shughuli zake kwa ufasaha zaidi

Naomba kuwasilisha
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom