Kwa wenye historia ya kutongozwa na mwanamke tuambie hapa

Mm
Mm n mmoja wapo...nilitongozwa na mwanamke..sikuweza kukataa ..nkapiga show then nikaendelea na utaratibu wangu..tupe ushuhuda wako kama mwanaume akitongozwa na mwanamke anaweza kataa
Mm akianza nyodo za kujileta tu namwambia mwili wangu sio kibanda cha kuhifadhia ukimwi wako peleka kwengine.bado ninasafari ndefu afya muhimu kuliko mihemko ya kimwili
 
Daah watu na bahati zenu,

Mi kuna mdada alionesha kuwa ananitaka nikaona anachelewa ikabidi nimrukie mwenyewe. Ilikua hivi, Ni sister tuu wa kitaa ambaye sikua na mazoea nae..sasa siku moja niliingia IG nikakuta staa mmoja bongo movie kampost huyo sister kum wish Happy birthday so ikabidi nimuendee DM na mim nikam wish. Basi tukaanza kuchat na akanialika kwenye Party Home kwake usiku, mzee nikaenda.

Kuanzia hapo mawasiliano yakaanza, nikikaa kidogo mara txt inaingia "nakuomba uje mara moja dukan kwangu nimekumiss mdogo angu"
Hizo txt za kunimiss zikawa nyingi balaa..siku ya tatu jioni akapost status nyingi analalamika "Mungu nisaidie, hii sio akili yangu" Basi mi nikawa nazi reply namuuliza tatizo nini hasemi, akapost tena "Ni ngumu kujifanya unampenda mtu ikiwa humpendi, lakini ni ngumu zaidi kujifanya humpendi mtu ikiwa unampenda" Nikamuuliza we upo statement ya kwanza au ya pili akajibu 'ya pili' nikimuuliza unampenda nan hatak kujibu. Nikamshaur akamwambie huyo mtu akasema hawez kufanya hivyo kwa sababu ya tofaut ya umri iliyopo Kati yake na huyo mtu, halaf akasema hana uhakika na hisia zake kwa huyo mtu so ni wakat tuu unapita.

Kesho yake ninavoenda mishe zangu nikapitia dukan nikajaribu kumshawish anambie huyo mtu ni nani akakataa...basi mi nikasepa, njiani nikawasha data nakuta kaeka status ame screenshot contact moja halaf kaisev 'All I need is you" lakini kwenye namba pale kaeka blur so sikuweza kuiona namba vizuri (lakini niliona kuwa inafanania kuwa yangu). Nikascreenshot ile post af nikampigia simu nikamdanganya kwamba kuna program ninayo kwa pc inaweza kufuta zile blur kwahiyo nitamjua tuu nikirud home. Akanibembeleza sana nisifanye hivyo.

Nilipofika hom nikaona huyo mtu anaweza kuwa mimi, sasa mbona siambiwi! Anyway ngoja nimfate kama ni mimi sawa, kama nisipokua mimi napo sina cha kupoteza. Nikamtxt kwamba kuna kitu nataka kuongea na wewe, akapiga simu kutaka kunisikiliza nikamwambia No sio kitu cha kuongea kwa simu nakuja hapo..nikakaa dakika tano akapiga tena mbona sifiki, nikajibeba huyo nikaenda

nikamuuliza
"Hivi ishawah kukutokea unaangalia movie labda halafu ukatokea kumpenda character fulani, kiasi kwamba hata yakimtokea mabaya unaumia kweli?"
Akajibu ndiyo tena wengine hata akiwa na mahusiano na mtu unakasirika japo kua ni movie,

Nimamwambia 'well, kwa mazingira hayo basi kumbe sio vibaya kumpenda mtu, hata kama unahisi huez kuwa nae kwa sababu zozote zile still huezi kubadili ukweli kwamba unampenda. Ndicho kinachonitokea mimi kwako, sikutongozi ila najaribu tuu kuelezea hisia zangu kwako kama ambavyo wewe ungefanya kwa yule character kama ungepata nafasi ya kuonana nae'.

Hakujibu kitu akabak ametulia tuu kama kanyeshewa, nlivomaliza kuongea ujinga wangu nikamuaga nikasepa. Kabla sijafika home ikaingia text "sasa si ungemaliza kabisa" nikamtumia tuu emoj za kucheka. Akaniomba niwashe data kuna kitu anataka kunitumia tsap nikafanya hivyo, akatuma ile screenshot ya contact lakini round hii bila blur filter. Ni kweli ilikua namba yangu, safari yetu ikaanzia hapo
 
Nakumbuka mala ya keanza kutongozwa na mwanamke ilikua form four Dem nilikua class moja na yeye sema mi nilikua si mtu wa story na wanawake Sana

Wapili: ilikua chuo mdada kwangu kanizidi Kama miaka sita alikua mwajiliwa pia naye nilikua naye class moja

Wa tatu alikua mke wa mtu kanizidi Sana uyu naye nilikutana naye bar tu kwenye moja baridi moja Moto na uyu najitaidi kumpotezea till now, Jana kanitumia text kanimiss ila nimemkazia ( mkitaka screenshot za conservation nawatumia humu) niliua namjibu shot shot.

.
Screenshot za nini! Bila shaka wewe ni mvulana.
 
Mkuu mi nilikuwa na kawaida kila siku za jumamosi nikitoka job posta huwa ninaenda kutulia hotel flani hivi posta nakunywa zangu juice na korosho sasa ikawa kuna shombe shombe la kihindi kila jumamosi huwezi kumkosa tena anakuwa peke yake anagida savanna, ni binti tu hivi wa kati ya 20 na 25. Inaonekana alikuwa na stress nyingi sana, mi kazi yangu ilikuwa nikusalimia tu na kisha kujitenga pembeni, basi ikawa hivyo kila jumamosi mi nasalimia nafuata meza yangu, na bahati mara nyingi tulikuwa wawili tu mida za saa kumi na moja hivi. Baada ya kupita wiki kadhaa siku hio kagida savanna zake ghafla akanikodolea mimacho, mi nimenyuti tu najifanya simuangalii, mwisho nasikia "wee kaka hivi tunavyofanya sivyo" basi ikaanzia hapo mwisho akaniambia live. Baadae akaja kupotea ghafla nilivyojaribu kuwauliza wahudumu wakaniambia yule ni mtoto wa nje wa muhindi flani hivi tajiri sana. sasa anaogopa kumuingiza kwenye ukoo watamtenga kwa hio huwa anakwenda kwa baba yake kila jumamosi kuvuta mkwanja wa nguvu anapita hapa kugida kidogo kisha anarudi kwa mother wake.
 
Ulimla?

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
 
Daah watu na bahati zenu,

Mi kuna mdada alionesha kuwa ananitaka nikaona anachelewa ikabidi nimrukie mwenyewe. Ilikua hivi, Ni sister tuu wa kitaa ambaye sikua na mazoea nae..sasa siku moja niliingia IG nikakuta staa mmoja bongo movie kampost huyo sister kum wish Happy birthday so ikabidi nimuendee DM na mim nikam wish. Basi tukaanza kuchat na akanialika kwenye Party Home kwake usiku, mzee nikaenda.

Kuanzia hapo mawasiliano yakaanza, nikikaa kidogo mara txt inaingia "nakuomba uje mara moja dukan kwangu nimekumiss mdogo angu"
Hizo txt za kunimiss zikawa nyingi balaa..siku ya tatu jioni akapost status nyingi analalamika "Mungu nisaidie, hii sio akili yangu" Basi mi nikawa nazi reply namuuliza tatizo nini hasemi, akapost tena "Ni ngumu kujifanya unampenda mtu ikiwa humpendi, lakini ni ngumu zaidi kujifanya humpendi mtu ikiwa unampenda" Nikamuuliza we upo statement ya kwanza au ya pili akajibu 'ya pili' nikimuuliza unampenda nan hatak kujibu. Nikamshaur akamwambie huyo mtu akasema hawez kufanya hivyo kwa sababu ya tofaut ya umri iliyopo Kati yake na huyo mtu, halaf akasema hana uhakika na hisia zake kwa huyo mtu so ni wakat tuu unapita.

Kesho yake ninavoenda mishe zangu nikapitia dukan nikajaribu kumshawish anambie huyo mtu ni nani akakataa...basi mi nikasepa, njiani nikawasha data nakuta kaeka status ame screenshot contact moja halaf kaisev 'All I need is you" lakini kwenye namba pale kaeka blur so sikuweza kuiona namba vizuri (lakini niliona kuwa inafanania kuwa yangu). Nikascreenshot ile post af nikampigia simu nikamdanganya kwamba kuna program ninayo kwa pc inaweza kufuta zile blur kwahiyo nitamjua tuu nikirud home. Akanibembeleza sana nisifanye hivyo.

Nilipofika hom nikaona huyo mtu anaweza kuwa mimi, sasa mbona siambiwi! Anyway ngoja nimfate kama ni mimi sawa, kama nisipokua mimi napo sina cha kupoteza. Nikamtxt kwamba kuna kitu nataka kuongea na wewe, akapiga simu kutaka kunisikiliza nikamwambia No sio kitu cha kuongea kwa simu nakuja hapo..nikakaa dakika tano akapiga tena mbona sifiki, nikajibeba huyo nikaenda

nikamuuliza
"Hivi ishawah kukutokea unaangalia movie labda halafu ukatokea kumpenda character fulani, kiasi kwamba hata yakimtokea mabaya unaumia kweli?"
Akajibu ndiyo tena wengine hata akiwa na mahusiano na mtu unakasirika japo kua ni movie,

Nimamwambia 'well, kwa mazingira hayo basi kumbe sio vibaya kumpenda mtu, hata kama unahisi huez kuwa nae kwa sababu zozote zile still huezi kubadili ukweli kwamba unampenda. Ndicho kinachonitokea mimi kwako, sikutongozi ila najaribu tuu kuelezea hisia zangu kwako kama ambavyo wewe ungefanya kwa yule character kama ungepata nafasi ya kuonana nae'.

Hakujibu kitu akabak ametulia tuu kama kanyeshewa, nlivomaliza kuongea ujinga wangu nikamuaga nikasepa. Kabla sijafika home ikaingia text "sasa si ungemaliza kabisa" nikamtumia tuu emoj za kucheka. Akaniomba niwashe data kuna kitu anataka kunitumia tsap nikafanya hivyo, akatuma ile screenshot ya contact lakini round hii bila blur filter. Ni kweli ilikua namba yangu, safari yetu ikaanzia hapo
Hapo mkuu ulitisha
 
Mimi kipindi hicho nasoma advance siku moja nikiwa narudi nyumbani nilipanda bus fulani hivi lililokua limetoka Dar es salaam likielekea mjini kwetu, basi nilipata siti ya nyuma ya mrembo mmoja matata, mweupe mwenya kashape amaizing basi alijeuka nyuma akaniasalimu tukaanza story mbili tatu zikanoga akatoka seat yake na kuja siti niliyokua nimekaa, story zilikolea akaanza kunisifia nilivyo Handsome kabla sijamjibu chochote alinikwida na kuanza kunipiga denda nami bila hiyana nilimpa support nakujiongeza baada ya hot romance tulibadilishana namba ya simu na niliposhuka tu tukaanza kuchat akaniambia amenimiss sana na ananipenda kuliko maelezo, nilivyofika nyumbani nilifikiria sana yaliyonikuta nilimtukana sana yule dada kwani alichonifanyia ni udhalilishaji na ndio ukawa mwisho wa maongezi yetu...

Hii chai yako haina sukari vvm
 
Back
Top Bottom