Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 172
Habari zenu wakuu.
Naomba ushauri wenu hapa
Plan yangu ni kujenga nyumba ya size yani master moja, vyumba viwili vya kulala, public toilet, daining, kitchen na stoo, nimemaliza kujenga msingi tayari,
Nataka kupandisha mpk kwenye lenta na tofali za block,
Nimenunua tofali 2000
Mifuko ya cement 40
Mchanga trip mbili
Nondo mm 10pc 20
Trip moja ya kokoto,
Je kwa hiyo hesabu hapo juu naweza fikisha nyumba kwenye lenta?? Ushauri wenu pls