Amefanya Kitu Ambacho Kwa Wazungu Hakijawahi Fanywa
Mkuu Hatuwatukuzi Wala Nini Sema Siye Weusi Tunafanya Vitu Vya Kustaajabisha
wazungu wangapi ushawahi kukaa nao? Kweli hua tunawatukuza wazungu mpk inatapisha aisee! Kesho mtakuja kutuambia wazungu hua hawajambi