Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #2 RUBISI ndio mpango mzima... Ruttashobolwa, @Bishanga, @KOKUTONA mpo??? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #3 Hawa ni Wanyalukolo wa Iringa wakijiandaa kufyonza ULANZI na MKANGAFU
Marumia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 644 Reaction score 213 Feb 13, 2013 #4 Kwa hizi zama za magonjwa ya kila aina siwashauri!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #5 Wakati huo hakuna "NGOMA"...kisado kimoja kinatumika na raia kama hamsini hivi, kwa mtindo wa mwenge hauruki kijiji...
Wakati huo hakuna "NGOMA"...kisado kimoja kinatumika na raia kama hamsini hivi, kwa mtindo wa mwenge hauruki kijiji...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #6 Hata aina ya ULABU imebadilika...siku hizi ni mwendo wa kuyaona maisha katika mwanga bora... Marumia said: Kwa hizi zama za magonjwa ya kila aina siwashauri! Click to expand...
Hata aina ya ULABU imebadilika...siku hizi ni mwendo wa kuyaona maisha katika mwanga bora... Marumia said: Kwa hizi zama za magonjwa ya kila aina siwashauri! Click to expand...
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 Feb 13, 2013 #7 watu8 said: Click to expand... Akitoka hapo huyoooo India.........amiba tu?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #8 Hata Wakulu nao wanaikubali hii kitu ya KINYAKYUSA....Chimpumu "Kimpumu"
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #9 hako kafimbo huwa kanachuja kila kitu... Safari_ni_Safari said: Akitoka hapo huyoooo India.........amiba tu? Click to expand...
hako kafimbo huwa kanachuja kila kitu... Safari_ni_Safari said: Akitoka hapo huyoooo India.........amiba tu? Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #10 Hapa ni kwa Mama Muuza, kitu ishachemshwa sasa inapoa...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #11 Mtu mmoja anisaidie kusoma hilo Tangazo...
Dr.zero JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 964 Reaction score 434 Feb 13, 2013 #12 watu8 said: Hata Wakulu nao wanaikubali hii kitu ya KINYAKYUSA....Chimpumu "Kimpumu" Click to expand... Siasa bana, sio kuwa anapenda, ila ndo hivyo inabidi ajioneshe yuko karibu na WADAU, Mzee wa kukata utepe anaiangalia kwa kinyaa...!!!
watu8 said: Hata Wakulu nao wanaikubali hii kitu ya KINYAKYUSA....Chimpumu "Kimpumu" Click to expand... Siasa bana, sio kuwa anapenda, ila ndo hivyo inabidi ajioneshe yuko karibu na WADAU, Mzee wa kukata utepe anaiangalia kwa kinyaa...!!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #13 Wale wa Tanga, Zanzibar, Mafia, Mzizima (sasa Dar es Salaam)...mnaikumbuka hii?
JM K JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 616 Reaction score 547 Feb 13, 2013 #14 Mambo ya kitochi cha mbege
Blue G JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 5,339 Reaction score 3,674 Feb 13, 2013 #15 Afu cheki mzee Pinda anavyomkata mwenzie jicho la hivi we vipi sijui jamaa kaharibu nini?au ndo kinywaji kimeshaingia kichwani nini? watu8 said: Click to expand...
Afu cheki mzee Pinda anavyomkata mwenzie jicho la hivi we vipi sijui jamaa kaharibu nini?au ndo kinywaji kimeshaingia kichwani nini? watu8 said: Click to expand...
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Feb 13, 2013 #16 hicho kimrija kila mtu anatoka na cha kwake nyumbani au?
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,720 Feb 13, 2013 #17 pinda kajaribu kwamba liwalo na liwe lkn bilali aah! kaon asiharibu udhu wake bureee! ama kweli siasa mchezo mchafu
pinda kajaribu kwamba liwalo na liwe lkn bilali aah! kaon asiharibu udhu wake bureee! ama kweli siasa mchezo mchafu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #18 Maandalizi ya MBEGE kwa Wachaga... Na hapa lipo tayari...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Feb 13, 2013 Thread starter #19 Hivyo vinapatikana Kilabuni kwa Mama Muuza... kashesho said: hicho kimrija kila mtu anatoka na cha kwake nyumbani au? Click to expand...
Hivyo vinapatikana Kilabuni kwa Mama Muuza... kashesho said: hicho kimrija kila mtu anatoka na cha kwake nyumbani au? Click to expand...
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Feb 13, 2013 #20 watu8 said: Hivyo vinapatikana Kilabuni kwa Mama Muuza... Click to expand... vinashwaje? mmh mbona naona kazi sana kuviosha?
watu8 said: Hivyo vinapatikana Kilabuni kwa Mama Muuza... Click to expand... vinashwaje? mmh mbona naona kazi sana kuviosha?