Kwa wazee wenzangu tu: Bado Mnatumia Hii?

Kwa wazee wenzangu tu: Bado Mnatumia Hii?

Siasa bana, sio kuwa anapenda, ila ndo hivyo inabidi ajioneshe yuko karibu na WADAU, Mzee wa kukata utepe anaiangalia kwa kinyaa...!!!

Hivi ili uwe karibu na WADAU, ni lazima unywe hiyo ''Chimpumu''?
 
Basi kwenu kulikuwa kumeendelea...najaribu kujiuliza pombe ikishakolea na mida ile ya kurudi inavyokuwa na kiza totoro, sijui kama huo mrija utakumbukika

Kule kwetu kila mtu anatoka na cha kwake nyumbani.
 
Hata Wakulu nao wanaikubali hii kitu ya KINYAKYUSA....Chimpumu "Kimpumu"

4%255B2%255D.jpg

Sharing is caring!
 
Hii kitu ndio ORIGINAL Africa style ya kufyonza ULABU! Taabu huyu Mheshimiwa Mzee wa MKASI aka Vice Presida imekuwaje naye anashiriki kwenye haya mambo? Au mqpo kaingia kwa karata ya kuzindua UNYWAJI?

Mtoto wa Mkulima anavyofyonza wazee wanatakiwa wawe na suction speed ya kutosha; vinginevyo atawamalizia!
 
Si unaona jicho lishaanza kuwa nyanya, hadi vionea mbali vimeteremshwa kidogo...
 
pinda kajaribu kwamba liwalo na liwe lkn bilali aah! kaon asiharibu udhu wake bureee! ama kweli siasa mchezo mchafu

Bilali anajua Zenj watamsulubu akisogelea hapo.

Hivi hapo habari za magonjwa vipi? Au magonjwa yenyewe yanakauka kwenye alcohol?
 
Bilali anajua Zenj watamsulubu akisogelea hapo.

Hivi hapo habari za magonjwa vipi? Au magonjwa yenyewe yanakauka kwenye alcohol?

unaulizia magonjwa tena?? hapo ndipo chimbuko la magonjwa kama TB. ikitokea mtu ama mshirika mmoja anaumwa basi kundi lote la waliokunywa wanakuwa at risk.

naakumbuka mwaka mmoja kijijini kwetu watu waliambukizana sana TB kwa sababu ya kunywa kitochi kwa kupokezana wenyewe wanaita ."RIAMBE" Kibong'oto hosp ilijaawateja kwasababu hiyo ilibidi mhe raisi Mwinyi aingilie kati kuiga marufuku kushare vikombe vya kitochi.
 
Jiraniii watu8, hii makitu ina ladha gani?
 
Last edited by a moderator:
Jiraniii watu8, hii makitu ina ladha gani?

Hahah...

Hata sijui nifafanue vipi ladha yake lakini ladha hutegemea na kiasi cha muda wa kuchachushwa nafaka itumikayo...

Mara nyingi ladha huwa katikati ya tamu(sweat) - chachu (sour) kuelekea chungu (bitter)...
 
Siasa bana, sio kuwa anapenda, ila ndo hivyo inabidi ajioneshe yuko karibu na WADAU, Mzee wa kukata utepe anaiangalia kwa kinyaa...!!!

Hapa mtoto wa mkulima atakuwa anamwonea aibu Dr Bilal
 
Back
Top Bottom