Kuna mchina aliniambia hata wao wanatuona sisi waafrika tunafanana🤣🤣🤣🤣🤣 Na walivofanana ndio kabisaaa
Kuna mchina aliniambia hata wao wanatuona sisi waafrika tunafanana
Mwongo mkubwa huyo ni wenyewe tu ndo wanafanana, mchukue jiwe,mkapa,Nyerere,Mwinyi na kikwete wanafanana hao?
Sent using Jamii Forums mobile app