miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
mmh baba utafiti m hata usikubali :behindsofa:
Oooh kwa hiyo nisikubali kuwa mke wa baba yako eeeh!!!
Dada Miss Chagga Huna Adabu! Siendi Huko Ng'o.
Majani gani hayo mbona unanitisha???
keshokutwa tu kaka
Weeeeeeeeeeeh Koma! Nipo Miaka 150 Ijayo Kama Waishivyo Mamba.
sikutaki mimi ukiwa na baba natafuta wanaume wakutongoze alafu namwambia baba unaleta wanaume nyumbani eeeh ndiyo
hata sijui baba yangu kabanwa na mchepuko alafu anamambo ya kisungu mmh nikae kimya tu sema nimeshalipiwa ada na hela ya matumizi ninayo sina shida
kwani huyajui.....?
Haya asante mwalimu eeeh
Hahahahaha wewe mtoto hauna adabu kabisaaa.Nikiwa mama yako nitakunyoosha hiyo tabia yako😀
Silence sometime is the best action.
:smile-big::smile-big:
noo ni udhaifu
The weak can never forgive. Forgiveness is the attribute of the strong.
Sexy is easy.............Love is X-pensive.
Cheka tu dawa yako naendelea kuichemsha