USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,664
Inamaana hakuna Tena mawasiliano ya SIMU (sauti)Kati ya wafanyakazi wa Vodacom na watuamiaji walaji.
Nimeambiwa hata mawakala wanapata tabu sana ,inaonekana dawani la huduma lqa wateja walilifuta na kuakia na tu sms tu
Hii imaana gani kwa watuamiaji wa Voda hasa mpesa kama Kuna tatizo ,unaganyaje