the_Pox
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 290
- 387
TUKUTANE HAPA TUPEANE MAUJANJA MBALI MBALI NA KUJUZANA VITU VIPYA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe maujanjaNaona umejikuta upo mwenyewe,haya jipe maujanja sasa.....
Labda ya tecno ndo venye nayajuaMpe maujanja
Wee jamaa unazingua sanaaNaona umejikuta upo mwenyewe,haya jipe maujanja sasa.....
Mkuu Lete maujanja😂😂😂Wee jamaa unazingua sanaa
Naona umejikuta upo mwenyewe,haya jipe maujanja sasa.....
Za iPhone pia zinapatikana,mkoani natuma.....Nauza hizi handle kwa watumiaji wa TECHNO inasaidia sana pale simu inapochemka...unaweza kutumia kama passi
View attachment 1112936
Nakuona umefurahi LeSiSta....
Nimecheka kinomaa...Jamaa anapewa maujanja na watumiaji wa teknoo..Mkuu Lete maujanja
Umenifurahisha kwa kweliNakuona umefurahi LeSiSta....
Kakosa ushirikiano Wa wenzake, acha tumpe sisiNimecheka kinomaa...Jamaa anapewa maujanja na watumiaji wa teknoo..
Unatumia iPhone gani kati ya hizo alizozitaja mtoa mada....Umenifurahisha kwa kweli
Iphone 8+Unatumia iPhone gani kati ya hizo alizozitaja mtoa mada....
Mpe techniques Basi......Iphone 8+
Yangu haipo hapoUnatumia iPhone gani kati ya hizo alizozitaja mtoa mada....
Kumbe ni Mimi tu ndo natumia tecnoYangu haipo hapo
Kumbe ni Mimi tu ndo natumia tecno
Haina noma lakini fresh tu...Hahahaha itakuwa