Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,335
- 2,903
Natumia simu yangu ya Smart phone kwenye masuala yangu ya internet zaidi kuliko computer,
ila tatizo limekuwa ni kasi ndogo ya internet na hata mala nyingine mtandao kukatikakatika.
Lakini tokea nimeamia Zantel kasi ya mtandao kidogo inaridhisha, hata kwa vifurushi vidogo.