Kwa watumiaji wa Google Pixel

Mkuu issue ni kuwa simu hainiruhusu kufika huko.. hiyo sehemu ya calls na sms haifunguki ..na huko ndiko ziliko hizo settings unazosemea.
Duh umenunua wap aisee,?? Kwann usiulize humu before kununua
 
Za wapi ndio nzuri? Na unajuaje?

Mimi upande wangu simu nikiona imenyooka naibeba na nashukuru mungu tangu naanza kununua simu used hizi za dukani hakuna simu hata iliowahi kunisumbua saivi nina iphone xr nimenunua mpya juzi hai overheat chaji nikichaji asibui hadi usiku
 
Lile tatizo la kujizima ghafla siku zimeacha au

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Sio zote zina tatizo hilo! Zinazozima hovyo ni zile refurbished kienyeji hata Samsung, Sony, Huawei, Xiaomi na iPhone ukipata refurb ambayo haikufanyiwa matengenezo kwa uhakika lazima ije kusumbua raia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…