Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,489
- 69,352
No reform no election tuanze na linalowezekana kwanza.Ishu ni kwambaa tuko vizurii sana mitandaoni, swali langu ni hili, je tutafanikiwa kuzuia uchaguzi kwa nguvu kama itunayoonesha mitandaoni? Au ikifika siku yenyewe watu tunaingiaa mitini
Wamewapa adabu chawawatu wa facebook wapuuzi sana
HahahahWe mganga usituharibie sikukuu πΌ
Kwa hiyo hawaja unfollow? Inabidi tusikwamini wewa sasaUsiwaamini makamanda wa mtandaoni
Kamchezo gani bossHadi wewe, afadhali umeacha kale kamchezo kakutuabisha ndugu zako wa milimani.
NO REFORMS, NO ELECTION!!
Tunataka viongozi tunaowachagua sisi WANANCHI wa TANZANIA na sio vinginevyo,tunaongozwaje na watu Wana ubongo wa Nguruwe.hapa ni NO REFORMS NO ELECTION zaidi ya hapo ni uongoHUKO INSTAGRAM KUANZIA JANA KUMEWAKA KILA POST YOYOTE UTAKAYO GUSA HAIJALOSHI INAHUSIHANA NA NINI UKIFUNGUA COMMENT 99% WATU WOTE UNAKUTA WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION" HATA KAMA POST ZA KANGA MOKO WATU WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION"...π π
PILI WAMEANZISHA OPERATIONS YA KU UNFOLLOW NA KUREPORT PAGE ZA MACHAWA WOTE KUANZIA STEVEN MENGELE NA WENGINE WOTE MPAKA SASA MILLAD AYO KAPOTEZA FOLLOWERS LAKI 3 MPAKA JIONI ATABAKI NA FOLLOWERS 3 MAANA WATU WANA SPEED HUKO...π π
FACEBOOK TUSIBAKI NYUMBA TU UNFOLLOW NA REPORT MACHAWA WOTE ILI WAWE NA AKILI SASA.....
USICOMENT NENO LOLOTE TOFAUTI NA "NO REFORM NO ELECTION"...ββ
NimenakiliView attachment 3359020
Big upTunataka viongozi tunaowachagua sisi WANANCHI wa TANZANIA na sio vinginevyo,tunaongozwaje na watu Wana ubongo wa Nguruwe.hapa ni NO REFORMS NO ELECTION zaidi ya hapo ni uongo
Unaishi dunia gani wewe ambaye hujui nguvu ya mitandao!Ishu ni kwambaa tuko vizurii sana mitandaoni, swali langu ni hili, je tutafanikiwa kuzuia uchaguzi kwa nguvu kama itunayoonesha mitandaoni? Au ikifika siku yenyewe watu tunaingiaa mitini
Mbona viongozi wetu wahasisi wa No Reform No Election wanapotutangazia tukutane Boma, hatukutani!!!?HUKO INSTAGRAM KUANZIA JANA KUMEWAKA KILA POST YOYOTE UTAKAYO GUSA HAIJALOSHI INAHUSIHANA NA NINI UKIFUNGUA COMMENT 99% WATU WOTE UNAKUTA WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION" HATA KAMA POST ZA KANGA MOKO WATU WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION"...π π
PILI WAMEANZISHA OPERATIONS YA KU UNFOLLOW NA KUREPORT PAGE ZA MACHAWA WOTE KUANZIA STEVEN MENGELE NA WENGINE WOTE MPAKA SASA MILLAD AYO KAPOTEZA FOLLOWERS LAKI 3 MPAKA JIONI ATABAKI NA FOLLOWERS 3 MAANA WATU WANA SPEED HUKO...π π
FACEBOOK TUSIBAKI NYUMBA TU UNFOLLOW NA REPORT MACHAWA WOTE ILI WAWE NA AKILI SASA.....
USICOMENT NENO LOLOTE TOFAUTI NA "NO REFORM NO ELECTION"...ββ
NimenakiliView attachment 3359020
Na wanawake wanaochepuka,waambieni wachore tattoo ya no reforms no erection( Sio election) kwenye mapajaNo Reforms No Election
NAJUA sana ila, kuwa na nguvu ya mitandao pekee, harafu baadae kwenye vitendo mnafyata mikia haina maana nb Tanzania hakujawahi Kuwa na nguvu ya mitandao kama unafikiri ipo subiri utaona watakapo ishia, Tanzania hua Kuna nguvu ya mitandao kwa mambo ya kijingav siyo mhimu.Unaishi dunia gani wewe ambaye hujui nguvu ya mitandao!
Unaishi dunia gani wewe ambaye hujui nguvu ya mitandao!
No Reforms no ElectionHUKO INSTAGRAM KUANZIA JANA KUMEWAKA KILA POST YOYOTE UTAKAYO GUSA HAIJALOSHI INAHUSIHANA NA NINI UKIFUNGUA COMMENT 99% WATU WOTE UNAKUTA WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION" HATA KAMA POST ZA KANGA MOKO WATU WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION"...π π
PILI WAMEANZISHA OPERATIONS YA KU UNFOLLOW NA KUREPORT PAGE ZA MACHAWA WOTE KUANZIA STEVEN MENGELE NA WENGINE WOTE MPAKA SASA MILLAD AYO KAPOTEZA FOLLOWERS LAKI 3 MPAKA JIONI ATABAKI NA FOLLOWERS 3 MAANA WATU WANA SPEED HUKO...π π
FACEBOOK TUSIBAKI NYUMBA TU UNFOLLOW NA REPORT MACHAWA WOTE ILI WAWE NA AKILI SASA.....
USICOMENT NENO LOLOTE TOFAUTI NA "NO REFORM NO ELECTION"...ββ
NimenakiliView attachment 3359020
Hujui!NAJUA sana ila, kuwa na nguvu ya mitandao pekee, harafu baadae kwenye vitendo mnafyata mikia haina maana nb Tanzania hakujawahi Kuwa na nguvu ya mitandao kama unafikiri ipo subiri utaona watakapo ishia, Tanzania hua Kuna nguvu ya mitandao kwa mambo ya kijingav siyo mhimu.