Free channel za DSTV mara nyingi ni CCTV,KBC,CITIZEN ,KBC na DISH.Ila usipolipa muda mrefu wanakata zote inabaki ya Dish tu.Ujinga mwngine wa hawa jamaa ni kwamba ukienda kulipa umechelewa wanakata pesa hata ya channel ambazo uliachiwa free kabla haujakatiwa.
kunani kenya, mbona free channel zao tu, thanks na minimum subscription price ni9 ipi, ina channel zipi?, vipi channel za bongo kama star na tbc.?
kunani kenya, mbona free channel zao tu, thanks na minimum subscription price ni9 ipi, ina channel zipi?, vipi channel za bongo kama star na tbc.?
yap thanks, but their details are too general. mfano wanakwambia sports channels, au move chnell,.? i hate that its not direct...
Package ya Chini kabisa inafluctuate kwenye 48,000/= hadi 50,000/= halafu inafuata ya 90,000/= halafu inafuata ya 128,000/= ambayo ni premium mkuu.
Price hizo zina vary kutokana na Kupanda na kushuka kwa Dola. Though mwaka huu TZ currency imekua very stable kwa USD sababu rate inarange kwenye 1590-1620 kwa buying 1 USD.
Magumashi ili kupata mazima dstv nafanyaje?? maana 128K ni kama wamewawekea matajiri tu....ni pm kama kuna magumash maaanMkuu family ni 10 usd ambayo ni karibia Tsh 17000
Mkuu family ni 10 usd ambayo ni karibia Tsh 17000