Kwa Watumiaji wa Daladala za Mwenge - Posta

Kwa Watumiaji wa Daladala za Mwenge - Posta

Ha ha ha..Hiyo ni Dar nzima...Afu mie nilidhani route ya Mwenge -Posta ina nafuu

Ina mida yake aisee...ukiwa Posta jioni gari hata hazifiki zinageuzia Red Cross huko...
Nafuu inakuwa ni kupanda gari za buku buku...
 
Back
Top Bottom