Kwa watumiaji wa android Tv kuperuzi Netflix

ENGINEER1

Member
Joined
Nov 15, 2023
Posts
6
Reaction score
3
Habar za mda huuu wakuu

Kwa watumiaji wa android Tv naomba kuuliza aiseh nmenunua smart tv na lengo langu nlikuw napenda kutumia Netflix ila kuna kipengele nikiwa nafungua Netflix inaniletea get started afu kwa pembeni kuna log in ila sasa nabonyeza kila pande nashindwa sehem ya kupitia kubonyeza hiyo get started au log in naomba kujua kuhus hili je inakubd utumie mouse?bau vp maana sion stick
 
Netflix inabidi uwe na account,log in itakwambia uingize details zako na uanze kuinjoy Netflix ,. Kifurushii kinaanzia 12000
 
Back
Top Bottom