mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Inakusaidia? Ukabila huanzia hapa! Sijui mrombo, mmachame sijui nini! Mkabila nini?
We inakuuma nini?
Ni mazoea tu, hata watu wa kagera husema naenda Bukoba.
Inamata sana tulakini hpeful mtu akikwambia anaenda moshi unaelewa na unapata ujumbe,the rest doesent matter
Inakuhusu?
We inakuuma nini?
si unaona? ndo mana nikauliza au jina lingine la kilimanjaro ni moshi?Muulize lucy Inkya akwambie kwanini leo bungeni alisema mkoa wa Moshi
asante mkuu...hawawezi kujibu hoja badala yake wanazunguka mbuyuNatumaini hakimuumi kitu,...ni kiu ya kujua tu_mwambieni basi badala ya kumnanga.