Yes, Mohammed Hersi anatokea Rufiji.Hivi kuna mtanzania ambae ni kiongozi huko Somalia?
Siyo lazima awe Mchumi: Mkulo alikuwa anachuma nini? Mramba ni Mchumi? Bashe atachukua Wizara ya Fedha asubuhi na mapema. Fall back position itakuwa Wizara ya Viwanda na BiasharaWaziri wa fedha anatakiwa kuwa mchumi mara nyingi. Bashe amesoma Marketing atapwaya labda awekwe Wizara ya Viwanda na Biashara